Event Pass inajumuisha gharama za WhatsApp API au SMS?
Hapana. Bei hii ni ya mtiririko wa Sayari wa kadi, RSVP, QR, scanner, na ripoti. Gharama za WhatsApp API au bulk SMS hubaki tofauti zikija kuunganishwa.
Anza na kutengeneza kadi, kisha fungua Event Pass ya mara moja kwa wedding na sendoff au subscription kwa matukio ya mara kwa mara.
Hariri kiolezo, panga picha, na uone mwonekano wa HTML moja kwa moja.
Link za RSVP, taarifa za wageni, majibu ya ujumbe, na utumaji ulio tayari kwa WhatsApp/SMS.
Aina za kuingia single, double, custom, au open pamoja na link za scanner kwa wahudumu wa mlangoni.
Pitia majibu ya RSVP, check-in logs, exports, mipango ya michango, na bajeti za tukio.
Tumia Starter kwa kadi za msingi, nunua Event Pass ya mara moja kwa wedding au sendoff moja, au chagua subscription kama unasimamia matukio mara kwa mara.
Kila chaguo linaanza na kutengeneza kadi. Mipango ya kulipia hufungua RSVP, QR za kuingia, scanner za wahudumu, ripoti, na uendeshaji mzuri wa tukio.
Hapana. Bei hii ni ya mtiririko wa Sayari wa kadi, RSVP, QR, scanner, na ripoti. Gharama za WhatsApp API au bulk SMS hubaki tofauti zikija kuunganishwa.
Ndiyo. Event Pass za mara moja zimeundwa kwa wedding, sendoff, birthday, na graduation pale unapohitaji RSVP na QR access kwa tukio moja.
Ndiyo. Kadi zako, majibu ya RSVP, check-in logs, na maudhui yaliyohaririwa hubaki kwenye akaunti. Muda ukiisha unaathiri tu matumizi mapya ya vipengele vya kulipia.
Wedding au sendoff inaweza kutumia Event Pass ya mara moja. Waandaaji wa mara kwa mara wanaweza kuhamia subscriptions RSVP, QR access, scanner sharing, na ripoti zinapokuwa sehemu ya kila tukio.